nauza toyota noah old model 9.5m

nauza toyota noah old model 9.5m

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,942
Reaction score
802
nauza toyota noah ya mwaka 1999 bei milion tisa na nusu, specifications zake zitafata pamoja na picha kwani ni mpya haijawahi kutumika hapa bongo na hivi navyoongea ipo kwenye meli inakuja,serious buyer only na kejeli sitaki.
 
Hakuna kejeli ila Tangazo lako lina maswali mengi sana.

1. Meli inafika lini
2. Huna picha zilizo kuvutia ukaagiza? kama zipo tuwekeee basi
3. Gari ina kilometer ngapi
4. Gari ni Rangi gani?
5. .......
 
Nimekusoma mkuu, detail zitafata baada ya gari kufika
 
Jombaa umenunua gari bila details?

Au wewe ni dalali kama mimi?

ungesubiri details ndio utoe tangazo jombaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom