Car4Sale Nauza Toyota Ist mpya (chassis #, unregistered)

Mkuu ligi ya nn?? Mbona jambo dogo sana hilo, mazoea yetu tu wabongo, gari ya showroom uwa tunaiona mpya, ambayo ukiinunua uwa unakua 1st owner, ila reality zinakua siyo mpya, gari mpya watz wachache ndio wenye uwezo wa kununua, example Government, kina Sabodo, Manji, yule muhindi wa Africarries pale vingungut jina limenitoka, etc
Hivi hii debate unaona nai-debate peke yangu au??
Yaani unaiona ni debate ya one side hakuna upande wa pili??
Manake sioni ukiwa-reply na wao, au kwa sababu wako uande wako kwamba gari ni Mpya?
 
Wakuu poleni na majukumu,

Nauza gari aina ya Toyota Ist
Chassis number
Unregistered
Never used in Tanzania
Model/Year 2002
Mileage 67,000km
Engine capacity 1290cc
Tshs 9.5milion (fixed)
Call 0787 646442
Location: Ilala Dar es salaam

Kwa mahitaji ya gari new and used wasiliana na mim faster mara moja 0787 646442

c33b576e5a1f6b89ea6e9d05a4b452a5.jpg

86f27a546abe39ffaf99e906b4972e86.jpg

fbbc32935c7ac0a537d91fff89f35741.jpg

815397a36bd2b6f4d8171ed5adf66c51.jpg

05d8f489b89623b6ea8d91937a79d813.jpg

00ba06d0e25f243205b2402d9b7517a1.jpg

e87e8787bcd7a466c79cbe6770e24173.jpg
Kama bado unayo nicheki pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom