Mtumwa baniani
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 128
- 26
Habari wakuu?
Nauza gari aina ya toyota granvia. Engine ina cc 3000, ina sunroof, full
time 4 wheel drive, inatumia petroli na imetembea km 150,000 na namba
zake ni ck. Bei ni milioni 16 na mazungumzo yapo.