Wadau nauza gari TOYOTA Chaser (GX 100) ina engine ya 1G- FE wajuzi wa magari watakuwa wanaifahamu, bado iko poa sana, namba ni ADB, rangi Silver, bei ni 4 Mil (negotiable) ipo hapa hapa Dar, sababu ya kuiuza ni kwamba nimenunua gari nyingine, hiyo imekuwa haina matumizi.
Mkuu suala sio kuwa na pesa ya kununua kila gari linalopita mbele, ila kufahamishana pia ni vizuri zaidi ila mtu anayetaka achukue kama lilivyo. Nadhani umenielewaMkuu kama huna pesa piga kimya, haikuwa lazima kucomment kama si mnunuzi
Swali lako limekuwa gumu..Dashboard inasomeka km ngapi?
Dashboard inasomeka km ngapi?
Unafahamu unachokiongea, Umeona wapi Avante la 4 Cylinder? Usijekuwa umeuza Corrola unatudanganya ni Avante. Pengine mnataka nifunguke tu ingawa niliongea kiutu uzima ili mwenye kuelewa aelewe.hiyo ni four cylinder haili mafuta sana, jana nimeuza moja ilikuwa imechoka kuliko hiyo.... naitamani sana hiyo
Mkuu mimi huwa namcheka kimya kimya tu mtu anayenunua gari kwa kuangalia aidha odometer reading au plate number.mkuu zama hizi za technologia na kizazi cha digtal bado wanunua gari kwa kuangalia kilomita??
kweli hii nchi bado tupo nyuma sana.aiseee ww hiyo gari yenyewe ni ya miaka 20 iliyopita wametumia wazungu weee kaja mbongo mwenzio katumia mpaka kachoka bado ww unalia na km??
huko mashow room kwenyewe mm nazunguka kila siku nashusha hizo km.mpaka huwaga nawacheka sana wanao nunua gari kwa kuangalia km
mkuu zama hizi za technologia na kizazi cha digtal bado wanunua gari kwa kuangalia kilomita??
kweli hii nchi bado tupo nyuma sana.aiseee ww hiyo gari yenyewe ni ya miaka 20 iliyopita wametumia wazungu weee kaja mbongo mwenzio katumia mpaka kachoka bado ww unalia na km??
huko mashow room kwenyewe mm nazunguka kila siku nashusha hizo km.mpaka huwaga nawacheka sana wanao nunua gari kwa kuangalia km
Ni lugha ya picha tu kaka! Inawezekana hata injini siyo iliyokuja na gari! Hivyo kms covered siyo issue!Swali lako limekuwa gumu..
Ni lugha ya picha tu kaka! Inawezekana hata injini siyo iliyokuja na gari! Hivyo kms covered siyo issue!