Nauza toyota alteza gita (blj)

Nauza toyota alteza gita (blj)

saidaty

Senior Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
193
Reaction score
162
CC: 2000
engine: G1-vvti
Gari nzuri haina tatizo
Bei: 2.8mil (millioni mbili na laki nane)
Call/whatsap 0783-489542
IMG-20181023-WA0019.jpg
IMG-20181023-WA0016.jpg
IMG-20181023-WA0014.jpg
IMG-20181023-WA0012.jpg
IMG-20181023-WA0013.jpg
IMG-20181023-WA0009.jpg
IMG-20181023-WA0009.jpg
IMG-20181023-WA0011.jpg
 
Ina tatizo gani LA kiufundi?
Imerudiwa rangi?
Iliwahi kupata ajali?
 
Bro haina tatizo lolote, haijarudiwa rangi wala haijawah kupata ajali.
Usijitetee sana mkuu , toa ruhusa mnunuzi aje Na fundi wake Kwa ajili ya ukaguzi ili ajiridhishe zaidi
 
Usijitetee sana mkuu , toa ruhusa mnunuzi aje Na fundi wake Kwa ajili ya ukaguzi ili ajiridhishe zaidi
Ww tu ht ukitaka kwenda nalo Hadi garage ukakague ni ww tu,
 
Watu mnajua kuongea kwenye thread za watu..we kama ni serious buyer c umchek PM muongee biashara..ushaambiwa gari haina tatizo..kama una ela unaenda kukagua na fundi wako isipokurodhisha unaacha..sio maneno miiingi alaf mtu ana ata laki bank [emoji23][emoji23]..
 
Pesa hatuweki bank wewe, tunachimbia chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom