Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2009 Posts 807 Reaction score 369 Sep 8, 2014 #1 Habari wadau,nauza till zangu za mpesa na tigopesa. Tigopesa 900,000 tsh na mpesa 300,000tsh. Kama unahitaji nipm au nicheki kwa namba 0717412069.
Habari wadau,nauza till zangu za mpesa na tigopesa. Tigopesa 900,000 tsh na mpesa 300,000tsh. Kama unahitaji nipm au nicheki kwa namba 0717412069.
Nyamuleha jr Senior Member Joined Feb 20, 2013 Posts 185 Reaction score 65 Sep 9, 2014 #2 Till ndiyo nini?
Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,896 Reaction score 1,214 Sep 9, 2014 #3 Tigo pesa kwa hyo bei utazeeka nayo hata mpesa, ukipata mteja kwa bei hzo nambie nkuongezee laki moja tena
Tigo pesa kwa hyo bei utazeeka nayo hata mpesa, ukipata mteja kwa bei hzo nambie nkuongezee laki moja tena
Kiboko. JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 2,896 Reaction score 1,214 Sep 9, 2014 #4 Nyamuleha jr said: Till ndiyo nini? Click to expand... We nae sio mnunuaji maswali mengi huna pesa, nyooo
Nyamuleha jr said: Till ndiyo nini? Click to expand... We nae sio mnunuaji maswali mengi huna pesa, nyooo
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Sep 9, 2014 #5 Mi ninayo ya tigopesa kwa laki tano tu na mpesa laki mbili tu kama unahitaji njoo pm
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Sep 9, 2014 #6 Kuku wa Kabanga said: Habari wadau,nauza till zangu za mpesa na tigopesa. Tigopesa 900,000 tsh na mpesa 300,000tsh. Kama unahitaji nipm au nicheki kwa namba 0717412069. Click to expand... wewe tgo pesa labda kwa laki 3 na mpesa ni laki.
Kuku wa Kabanga said: Habari wadau,nauza till zangu za mpesa na tigopesa. Tigopesa 900,000 tsh na mpesa 300,000tsh. Kama unahitaji nipm au nicheki kwa namba 0717412069. Click to expand... wewe tgo pesa labda kwa laki 3 na mpesa ni laki.
B batchu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 263 Reaction score 35 Sep 9, 2014 #7 Huu uzi nnawacwac labda ni wa mwka juz...m pesa ht lak moj tgo pesa lak tatu. Pole utakesha nazo
M M2mishi JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 719 Reaction score 274 Sep 9, 2014 #8 Ahahahaha huyu kweli jambazi kama sio jambazi basi atakua DECI anauza kwa bei kubwa kiasi hicho au anamaanisha fedha za kiganda na sio za kitanzania?
Ahahahaha huyu kweli jambazi kama sio jambazi basi atakua DECI anauza kwa bei kubwa kiasi hicho au anamaanisha fedha za kiganda na sio za kitanzania?
Laurence JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 3,104 Reaction score 426 Sep 9, 2014 #9 Kwa bei yako hii utakaa sana na hizo TILL zako
devota vijance Member Joined Sep 5, 2014 Posts 33 Reaction score 49 Sep 9, 2014 #10 Tigo pesa 200 elfu tufanye biashara