Nauza Till ya m.pesa,Laini ya uwakala!

Nauza Till ya m.pesa,Laini ya uwakala!

mtafiti05

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
956
Reaction score
595
Kwa yeyote anaehtaji laini ya uwakala anichek, kama ndo unaanza biashara Hii naweza kukupa mfumo wa kazi na mbinu zote,

Gharama tsh.200,000/= tu, mwenye uhitaji nicheki kwa kupatana na kufanya biashara, contact 0765-190024.
 
Wenzako wanauza mpaka 80000 kaka Voda shop ndio being 100000 mpaka 120000
 
Nikihitaji nazipataje
Andaa copy ya TIN( Taxpayer Identification Number), copy ya Leseni ya biashara na kitambulisho cha mpiga kura
Beba hizo copy na originals za hizo document nenda voda shop/tigo etc
Watakutengenezea
Kama huna TIN nenda TRA utapewa utaratibu mzima wa kuipata
Leseni nenda jiji, halmashauri yaani mamlaka yako ulipo wewe kama ni wilayani au jijini au manispaa utapewa utaratibu was kuipata
 
Biashara ni kupatana, mkielewana mnauziana bei yeyote mliyokubaliana!
 
Bei iyo sio rafiki kabsa!m-pesa zinauzwa mpaka 70000/=tsh
 
Back
Top Bottom