maheda0756
Senior Member
- Oct 27, 2016
- 107
- 160
Nahitaj Tigo pesa na M-pesa zote kwa pamoja chukua 200kHabari za majukumu
Nina line tatu za M-pesa zote nauza 150,000@.
Ninazo pia line za Tigo pesa mbili zote nauza 190,000@
Nipo Dar es salaam lkn pia kama upo mkonia zitakufikia. Changamkia fursa
PM Ipo wazi kuna punguzo la bei pia.
Hapana mzee yani 100k@Nahitaj Tigo pesa na M-pesa zote kwa pamoja chukua 200k
Tusaidiane ndgu yng vyuma vpo tyt sn...ni mbnu ya kujiongeza ili npambane na hii hali mkuuHapana mzee yani 100k@
Acha zikae
Aisee ni kweli Chief ata mm nimesaidiwa na bado nasaidiwa mpk hapa nilipofika. Ngoja nijaribu kuona namna ya kukusaidiaTusaidiane ndgu yng vyuma vpo tyt sn...ni mbnu ya kujiongeza ili npambane na hii hali mkuu
Nifate PM tuone tunafanyaje mkuuTusaidiane ndgu yng vyuma vpo tyt sn...ni mbnu ya kujiongeza ili npambane na hii hali mkuu
Siyo wote lkn Chief, mimi kuna dogo langu la kiume lilimaliza form 4 2015 nikamtafutia kijiwe karibu na stend za mabasi ya mikoani na nikampa capital ya 1.5m huwezi amini aisee now dogo anavuta kamisheni kushinda mshahara wanguTatizo mahawara zetu tukiwanunulia hizi votu wafanye biashara bado watashindwa tu
NimekuPMHabari za majukumu
Nina line tatu za M-pesa zote nauza 150,000@.
Ninazo pia line za Tigo pesa mbili zote nauza 190,000@
Nipo Dar es salaam lkn pia kama upo mkonia zitakufikia. Changamkia fursa
PM Ipo wazi kuna punguzo la bei pia.
Boss mim nnazo ya tigo pesa na airtel money. Tigo pesa kwa laki 2 naairtel laki. Kwa jumla nauza zote kwa 260kNahitaj Tigo pesa na M-pesa zote kwa pamoja chukua 200k
Capital ya 1.5M inaingiza commission ya kiasi gani kwa kukadiria kwa sehemu kama hiyo ya mzunguko wa watu?Siyo wote lkn Chief, mimi kuna dogo langu la kiume lilimaliza form 4 2015 nikamtafutia kijiwe karibu na stend za mabasi ya mikoani na nikampa capital ya 1.5m huwezi amini aisee now dogo anavuta kamisheni kushinda mshahara wangu