I ikamba1 Senior Member Joined Mar 15, 2013 Posts 100 Reaction score 26 Nov 19, 2014 #1 Habari Wajasiriamali wenzangu! Nauza till ya Tigopesa, nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara. Aliye serious ani-pm. Nipo Dar es salaam. Karibuni sana.
Habari Wajasiriamali wenzangu! Nauza till ya Tigopesa, nilikuwa naitumia kwa biashara zangu ila kwa sasa nimeamua kubadili biashara. Aliye serious ani-pm. Nipo Dar es salaam. Karibuni sana.