mawe craft Member Joined Mar 10, 2015 Posts 24 Reaction score 9 Mar 10, 2015 #1 Nauza tiles zitokanazo na Tanga stone (slate stones) ambazo zipo katika style tofauti kulingana na mahitaji yako. Ninazo zakuweka sakafuni, kwenye fence, ukutani na hata kwenye garden. Tunauza squre meter moja kwa Tshs 25,000/= Attachments s 3.jpg 126 KB · Views: 553 s 2.jpg 67.7 KB · Views: 503
Nauza tiles zitokanazo na Tanga stone (slate stones) ambazo zipo katika style tofauti kulingana na mahitaji yako. Ninazo zakuweka sakafuni, kwenye fence, ukutani na hata kwenye garden. Tunauza squre meter moja kwa Tshs 25,000/=
Malinyingi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 864 Reaction score 164 Mar 10, 2015 #2 Hongera sana mkuu, Je upatikanaji wake ukoje? na unatoa oder au yapo tayari? na unapatikana mkoa gani?
Hongera sana mkuu, Je upatikanaji wake ukoje? na unatoa oder au yapo tayari? na unapatikana mkoa gani?
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 162 Mar 10, 2015 #3 Weka namba ya simu mkuu mawe craft Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M mchekanapori Member Joined Aug 3, 2012 Posts 50 Reaction score 51 Mar 10, 2015 #4 Weka namba yako ya simu, wateja tupo, tutakupataje?
Malinyingi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 864 Reaction score 164 Mar 24, 2015 #5 GP said: Weka namba ya simu mkuu mawe craft Click to expand... Nime ku PM namba yangu, tafadhali tuwasiliane
GP said: Weka namba ya simu mkuu mawe craft Click to expand... Nime ku PM namba yangu, tafadhali tuwasiliane
mawe craft Member Joined Mar 10, 2015 Posts 24 Reaction score 9 Mar 24, 2015 Thread starter #6 Nimekupata malinyingi, naomba ni PM mimi
Brine JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 375 Reaction score 71 Jun 22, 2015 #7 Mzee nimeku pm nahitaji hayo mawe kaka, mhim sana
Brine JF-Expert Member Joined Oct 28, 2011 Posts 375 Reaction score 71 Jun 22, 2015 #8 Mzee nimeku pm nahitaji hayo mawe kaka, mhim sana Umeweka tangazo zuri sana ila umesahau namba ya sim na ndo mhim sana.
Mzee nimeku pm nahitaji hayo mawe kaka, mhim sana Umeweka tangazo zuri sana ila umesahau namba ya sim na ndo mhim sana.
Gidbang JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 4,485 Reaction score 4,013 Jun 22, 2015 #9 Brine said: Mzee nimeku pm nahitaji hayo mawe kaka, mhim sana Umeweka tangazo zuri sana ila umesahau namba ya sim na ndo mhim sana. Click to expand... Unapatikana wapi na pls weka namba zako mm nahitaji sana za zuio
Brine said: Mzee nimeku pm nahitaji hayo mawe kaka, mhim sana Umeweka tangazo zuri sana ila umesahau namba ya sim na ndo mhim sana. Click to expand... Unapatikana wapi na pls weka namba zako mm nahitaji sana za zuio
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Jun 24, 2015 #10 ungeweka namba ya simu hapa kwa faida ya wateja kuliko mtu aje pm kuomba namba..