Rangi nyeupe, bima kubwa, auto, Niko Dodoma na document zote zipo....picha zinakataa...Gari yako alafu huna hata detail yoyote ya gari hata picha ya ubavuni?
Nauza gar yangu aina ya Ti, iliingia Tanzania mwezi wa nne 2014 kuna mambo nataka kuyaweka sawa ndomana nauza 8.5mil, Aijawai pata ajari na ni mpya vile vile