Nauza TECNO W4 Tshs. 150,000/

Nauza TECNO W4 Tshs. 150,000/

Sia Cathbeth

Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
34
Reaction score
30
Habari, nauza simu ya TECNO W4 ipo kwenye good condition na vifaa vyake vyote. Anayehitaji Tafadhari anitafute hapa private message.
 
Mi ninaitaka sana ila nina laki moja kamili, nichk 0714821744,
 
Mimi nauza SIMU yangu inaitwa INFINIX NOTE bado mpya ata mwezi aina inakaa na chage ukubwa wa betry 4040mah ukubwa inch 6 ni duas
Nipo dar ukitaka nipigie simu 0713423620 tuongee
 
Picha zake ziko wapi au unataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom