daudycharles
Member
- Feb 19, 2014
- 50
- 16
Habari,nauza tecno Camon C5 yenye 4g iko poa kabisa haina shida,karibu tufanye biashara.bei Tsh 135000,mawasiliano 0652199902
Uko wapi?Habari,nauza tecno Camon C5 yenye 4g iko poa kaba haina shida,karibu tufanye biashara.bei Tsh 135000,mawasiliano 0652199902
We picha basituione wadau?Uko wapi?
Nipo dar karibu na chuo kikuu dar es salaamUko wapi?
Hapana90000 nikupe kama ndio nipm