Nauza Tech stuff....very nice stuffs checkout. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Tech stuff....very nice stuffs checkout.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bonna, Sep 5, 2012.

 1. bonna

  bonna JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Hello friends,
  Nahitaji hela kiwango flani..hivo imenilazimu kuuza baadhi ya gadgets zangu kama ifuatavo..

  USB TV Tuner: (60,000/=) unachohitaji ni kuwa na computer na antenna yako..unapewa cd ya drivers zake na application software yake...unapata all local channels itv,clouds tv etc,utakuwa na uwezo wa kurekodi kipindi unachoangalia kwenye tv....kama nilivosema...utasaidiwa kuinstall all these ukitaka.ni usb device kama flash drive kwa hiyo unatumia na laptop au desktop....ukiwa nayo hii huna haja ya tv..unaangalia tv kwenye hio hio pc yako bureee na kurekodi vipindi.

  Desktop Keyboard: (30,000) Bado mpya,usb,Compaq,Multimedia Keyoard,very nice...ukitaka kuiona sio shida...utaoneshwa.

  Desktop Multi DVD Recorder Drive(50,000):,bado mpya.ni SATA,inasupport CD Labeling(Highscribe),ina burn dvd,product ya HP...unahitaji kuwa na desktop inayosupport SATA ili kuitumia hii au another alternative ni kuwa na external case inayosupport SATA.

  Cisco Router 2600 Series(400,000) ina kila kitu flash ROM,NVRAM..support ppp na PPPoE...NAT etc...Bado iko kwenye good condition,nakufanyia Configuration ukitaka..(kwa mara ya kwanza tu) .....

  Dell Docking Station:
  (100,000) kwa wale wenye laptop zinazosupport docking station hasa Dell latitude series...hiki ni kifaa kwa ajili ya kutunza life span ya port zako zote na battery ya mashine yako...ni kizuri kwa watu wasio na movement sana na laptop zao.

  Softwares (Price depends)...just Name it: i will find it for you..full not trial...na serials,key generator au ikibidi utatengenezewa cracker..kutumia Object C.  pls,niko serious..so if you are serious pia ni PM,time is precious..value your time,dont disturb if you are not serious.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ungefanya utafiti pia ktk maduka ya kawaida ili kujua bei halisi ya vitu vyako kwa sasa.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Una portable Bluray burners na blanks?
   
Loading...