Nauza Suzuki Swift Mil 4.5

Nauza Suzuki Swift Mil 4.5

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
IMAG0049.jpg
nauza suzuki swift ikiwa kwenye hali nzuri sana na sifa zifuatazo
-Gear automatic
-Full AC
-ina Km 127,000
-haijawahi kupata ajali yoyote kubwa wala kupigwa rangi
bei ni mil 4.5 na haipungui. Cheki picha ukipenda njoo tufanye biashara 0685369349
IMAG0050.jpg
IMAG0051.jpg
IMAG0052.jpg
IMAG0053.jpg
IMAG0054.jpg
IMAG0055.jpg
IMAG0056.jpg
IMAG0057.jpg
IMAG0058.jpg
 
Afadhari wewe umejitahidi kuwekamo na tupicha
 
Tangazo nimelipenda sana. Linajieleza na kujitosheleza. Kila la heri muuzaji. Nakutakia mafanikio kwenye biashara yako
 
Back
Top Bottom