The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Shida inayokuja ni kwenye kuzijua mana upigaji ni mwingimkuu,ninazo tatu ni zile OG kabisa nilichukulia elfu 30 mpaka leo zipo powa na nina mbili nilichukua @23000 zina mwaka mzima zipo kama mpya yani,so bei sio tatizo ila ni wewe wakati wa kununua uangalia material vizuri
hata kuna jeans fulani mbili nilinunua @23000 aise nilivaa week moja tu zikaanza kuchanika mapajani lakini ninayo moja nilichukua mwaka 2018 ila mpaka leo ipo imara kabisa nikagundua zile jeans ambazo ni laini ni utopolo
Niaje Dingimtoto?Acha uchawi na ujue uchawi sio lazima kuwanga au kuruka na ungo
Hata hivi unavyofanya ni uchawi.
hitaji kadeti kwa bei ya 10,000.Itafaa?Wandugu nauza kadeti original tsh.23,000 ni za kuvutika na staff jeans (office jeans) tsh 22,000 pia jeans 18,000 pamoja na mashati na
t-shirt18,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo namba yangu 0657438581 WhatsApp pia ipo
hizo ni baadhi ya kadet karibuniView attachment 547969View attachment 547970View attachment 547971View attachment 547972View attachment 547973
Size kuanzia 30 mpaka 40
Mkuu elfu 10? Huwezi pata kadeti bei ni 23,000 .Na
hitaji kadeti kwa bei ya 10,000.Itafaa?
Shwari kamanda! Sawa unaweza nichek hapa 0657438581 au nitumie namba yako nikupigie, napia pia size ya kadeti kimsingi huanzia 30,32,34... na kuendelea.Niaje Dingimtoto?
Aisee sasa nahitaji kadeti mbili au tatu hivi. Size nayovaa 30/31.
Sasa napenda kuchagua, nitakupata wapi. Maana nikisema uniletee kwangu utabeba sample mbili tu nitakosa flexibility.
Unamaanisha size zinaenda kwa EVEN numbers? Sijaona ukiandika 31, 33 etc.Shwari kamanda! Sawa unaweza nichek hapa 0657438581 au nitumie namba yako nikupigie, napia pia size ya kadeti kimsingi huanzia 30,32,34... na kuendelea.
Karibu
Size za kadeti ni tofauti na jeans, hivyo anaevaa jeans 31 kadeti anavaa 30.Unamaanisha size zinaenda kwa EVEN numbers? Sijaona ukiandika 31, 33 etc.
Nitakuchek. Ngoja nika-pimp gari langu. Pesa yote itakayobaki nakuja kununua kadeti.Size za kadeti ni tofauti na jeans, hivyo anaevaa jeans 31 kadeti anavaa 30.
Hiyo namba ipo whatsApp .
Shukrani!Nitakuchek. Ngoja nika-pimp gari langu. Pesa yote itakayobaki nakuja kununua kadeti.
Nimeishiwa kabisa. Nilizonazo zote zimepauka pauuuu sababu ya kufulia Omo.
Kwa comments za mwana hapo juu mzee kimbia, au ununue sehem nyingineDuuh nilitaka kununua cadeti ila nimeshaahirisha
Kuwa makini mzee,unachokiona na utakacholetewa ni vitu viwili tofauti, naafikiana na jamaa ata mimi nimewahi kuletewa na mwana flan nadhan ni hyu hyu, hazitazamiki sasa hvi na ni ndani ya miez miwili tu.Unaonekana hujanyooka malizana na jamaa kwanza. Ashanitia wasiwasi kuhusiana na ubora wa cadet zako
Mkuu usipende kufurahisha umma kwa vitu usivokuwa na uhakika navo sijauza kadeti toka mwezi wa nne.Kuwa makini mzee,unachokiona na utakacholetewa ni vitu viwili tofauti, naafikiana na jamaa ata mimi nimewahi kuletewa na mwana flan nadhan ni hyu hyu, hazitazamiki sasa hvi na ni ndani ya miez miwili tu.
Habari! Mkuu kwa watu wa mikoani, nakutumia kwa bus au kama una ndugu, jamaa huku dar unaweza niambia nampelekea mzigo.Sisi wa mwanza[emoji15]
Nachukua nambaHabari! Mkuu kwa watu wa mikoani, nakutumia kwa bus au kama una ndugu, jamaa huku dar unaweza niambia nampelekea mzigo.
Karibu namba yangu hii hapa [emoji338]0657438581
Dondosha na masharti & t-shirt uliyonayo mzeeHabari! Mkuu kwa watu wa mikoani, nakutumia kwa bus au kama una ndugu, jamaa huku dar unaweza niambia nampelekea mzigo.
Karibu namba yangu hii hapa [emoji338]0657438581