dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,832
- 20,350
- Thread starter
-
- #641
[emoji843]Shirt 17,000 tumikono mifupi ya kwanza
[emoji843]hii unaweza mecchisha na kadeti/jeans pia
[emoji843]na ya pili, Mikono mirefu bei ni 17,000View attachment 1369264View attachment 1369265
Hapana! MrMkuu wa mikoani ni free deriver pia?,nimezipenda hizi shirt
Aina hii ipo rangi ya ugoro tu[emoji843]Brand mpya
[emoji843]kadeti ya kuvutika
[emoji843]tsh 22,000
Kwa wakazi wa dar nakuletea hadi ulipo, mkoani nakutumia kwa unaminifu na gharama nafuu
WhatsApp namba 0657438581
View attachment 1387008
Kama kadet kiaje mkuu?[emoji843]Soft/staff wengine wanaziita office jeans
[emoji843]hizi ni kama kadeti
[emoji843]hazipuki
[emoji843]tsh 25,000 View attachment 1375590View attachment 1375592
Mosi Zinavutika
Mosi Zinavutika
Pili, material yake ni kama cadet zile ambazo zinavutika sio kama jeans ngumu ufuaji wake kwa wale wanaona jeans kufua ni ngumu basi hapa ni rahisi kwao
T-shirt kama hizi ukinitumia Sumbawanga bei inakuaje?
Mosi Zinavutika
Pili, material yake ni kama cadet zile ambazo zinavutika sio kama jeans ngumu ufuaji wake kwa wale wanaona jeans kufua ni ngumu basi hapa ni rahisi kwao
Ooh! Hizo sina kwa sasaHaina V tishet? Nataka v tishet. Tishet ambazo hazina cora.