dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,344
Ni mtumba auWandugu nauza kadeti tsh.23,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo hizo ni baadhi ya kadet karibuniView attachment 547969View attachment 547970View attachment 547971View attachment 547972View attachment 547973
Ipo mr..
Aina tofaut tofaut zingine marekan, chinaZimetengenezwa wapi?
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Chief inashuka unahitaji ngap??
Ni Wapi huko?
Miji ya wasukuma kama kahama, ushirombo, katoro, dutwa, nk. Huko kote kuna minada karibia kila wiki ukienda huko unauza tena kwa bei mara mbili ya unayouza sasa wasukuma wanapenda sana hayo mambo tena upeleke nyingi za kufanana wanapenda wavae zinazofanana mtaaniNi Wapi huko?
Mkuu wasukuma wakikuskia lazima wakulaani aiseemhh kadeti hzi za kijanja mkuu!nampenda mwanaume anaevaa kadeti!hizi sio za minadani!manguo ya kisukuma yanajulikana unaweza kukaukiwa koo ukiziona
Mkuu mi nlifikiri ni zile za type yao za kuendea kwenye disco ya Budagalaaaaha nimo humo mkuu nazijua sanaaa!hahaha
Mleta uzi zingatia huu ushauri, nakuhakikishia hautojuta
Mkuu mi nlifikiri ni zile za type yao za kuendea kwenye disco ya Budagala
Sent using Jamii Forums mobile app
weka picha nzuri mkuu,umepigia gizaniWandugu nauza kadeti tsh.23,000 nipo dar es salaam ukiwa dar nakuletea ulipo hizo ni baadhi ya kadet karibuniView attachment 547969View attachment 547970View attachment 547971View attachment 547972View attachment 547973
Raha sana ukiwazoea lakinihahahaaha wapo hao moro utawachoka jaman!na nguo zao nyeusi na chachacha za miguuni!