Nauza sungura

chenera

Member
Joined
Apr 11, 2017
Posts
10
Reaction score
10
Nauza sungura Wa kisasa newzealand white,chinchilla na dutch mmoja 30000 nipo mbezi Makabe Dar es salaam..
Wanafaa kwa ajili ya kufugwa na kuliwa km nyama wapo wengi sana napokea oda za mahotelini...
Mwenye soko naomba anitaarifu

Kwa mawasiliano 0753534514

Naomba nikupongeze kwa kua m-bunifu.....

Otherwise...... Ebu ngoja wadau waamke
 
Sungura 2 napata Mbuzi 1 pale Kiembembuzi!
 
Sungura 2 napata Mbuzi 1 pale Kiembembuzi!
Nyama ya sungura kiafya bora zaidi si kama nyama ya mbuzi,ng'ombe nk,sungura yupo kwenye kundi la nyama nyeupe kama kuku na samaki ndio maana bei yake ipo tofauti mkuu
 
Nyama ya sungura kiafya bora zaidi si kama nyama ya mbuzi,ng'ombe nk,sungura yupo kwenye kundi la nyama nyeupe kama kuku na samaki ndio maana bei yake ipo tofauti mkuu
nyama ya mbuzi na ng'ombe sio salama kivipi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…