Wapo wanaohitaji!Hivi startime bado inahitajka kweli mpaka sasa?
Maana mpaka uelekeze antena kisarawe au makongo
Ukikosa mteja mm nina elf 5 uni PM, nahitaji kutoa spares humo.
Ukikosa mteja mm nina elf 5 uni PM, nahitaji kutoa spares humo.
Km nilivyoandika hapo juu,King'amuz cha startimes kinauzwa pamoja na antenna yake.Bei 80,000/=nipo Dar.Nataka kuamia Azam!Ni pm if u're interested
npe kwa 60000...
Lete pesa nikupe ninacho.