Hiyo SSD ni ipi hapo kwenye picha?Karibu nikuuzie Sold state Disk SSD 256GB.
Condition: brand new.
Contact:- +255714978668 / +255764062505
Njooo nikuuzie.View attachment 1093695
Kama hujaweka bei Tangazo la nnKaribu nikuuzie Sold state Disk SSD 256GB.
Condition: brand new.
Contact:- +255714978668 / +255764062505
Njooo nikuuzie.View attachment 1093695
Kama hujaweka bei Tangazo la nn
Ya juu kabisa hapo kwenye raironiHiyo SSD ni ipi hapo kwenye picha?
Duuh kumbe ndo ipo hivyo? Nilijua inafanana ns HDD kabisa sasa niulize mkuu je hio SSD unaweza kuweks kwenye laptop yenye HDD au inawekwa kwenye laptop special za SSD?Ya juu kabisa hapo kwenye raironi
Duuh kumbe ndo ipo hivyo? Nilijua inafanana ns HDD kabisa sasa niulize mkuu je hio SSD unaweza kuweks kwenye laptop yenye HDD au inawekwa kwenye laptop special za SSD?
Karibu nikuuzie Sold state Disk SSD 256GB.
Goes for tsh. 150,000/=.
Condition: brand new.
Contact:- +255714978668 / +255764062505
Njooo nikuuzie.View attachment 1093695
Naona ameishiwa bando ngoja nimsaidie kujibu. Huwezi kutumia kwenye laptop inayokuja na HDD. Laptop nyingi zinazotoka sasa hivi zinakuja na tecknolojia ya SSD.
Laptop yangu inatumia SSD na ina sehemu ya HDD ambayo imewekwa kama provision
Naweza pata ya 400gb??
Unamaanisha 512GB if am not mistaken....???
Zipo mkuu ambazo zinatumia same Serial ATA connector,yaan zipo sawa na Hard disk za kawaida hivyo unaweza nunua hizo ukaweka kwa laptop yako badala ya kutumia HDD ukatumia hiyo SDD.Duuh kumbe ndo ipo hivyo? Nilijua inafanana ns HDD kabisa sasa niulize mkuu je hio SSD unaweza kuweks kwenye laptop yenye HDD au inawekwa kwenye laptop special za SSD?