Sasa mnafikiri nalala mtandaoni?? Hiyo pm umetuma SAA ngapi mpaka uanze kulalamika , yaani mtu utume pm SAA 8 usiku utegemee kujibiwa muda huo?? Em behave kama MTU mzma bhana
Habari za usiku huu wapendwa nipo dar nauza sofa (120000) , fern 15000 pamoja na decorder ya Startimes na antenna yake na waya 40000 vifaa vyote hivo havijatumika sana