hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,568 Reaction score 9,138 Jul 17, 2015 #1 Wakuu habari za kazi, Nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf themanini tu. Kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa
Wakuu habari za kazi, Nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf themanini tu. Kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa
napenda JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 485 Reaction score 91 Jul 17, 2015 #2 hp4510 said: Wakuu habari za kazi.... nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf dhemanini tu kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa Click to expand... Uko wapi mkuu
hp4510 said: Wakuu habari za kazi.... nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf dhemanini tu kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa Click to expand... Uko wapi mkuu
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,718 Jul 17, 2015 #3 picha? uko wapi?
kisumapai JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 544 Reaction score 219 Jul 17, 2015 #4 Mawasiliano mbna ujaweka Unauza set au moja moja Mkuu taarifa yako mbn Kama haijakamilika
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,568 Reaction score 9,138 Jul 17, 2015 Thread starter #7 Niko dar es salaam sinza......najaribu kuupdate picha Ila zinakataa 0686 274501nitxt then nitakutumia watsap
Niko dar es salaam sinza......najaribu kuupdate picha Ila zinakataa 0686 274501nitxt then nitakutumia watsap
BROO JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 360 Reaction score 69 Jul 17, 2015 #8 Sinza kubwa mkuu
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,568 Reaction score 9,138 Jul 17, 2015 Thread starter #9 Sinza mori nyuma Ya bigbon
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,798 Jul 17, 2015 #10 rubii said: picha? uko wapi? Click to expand... unanunua
SOGHOO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 1,268 Reaction score 568 Jul 17, 2015 #11 hp4510 said: wakuu habari za kazi.... Nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf dhemanini tu kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa Click to expand... mwambie jirani akufundishe jinsi ya kuweka picha upate hela leo leo ukazipige kiberiti kesho
hp4510 said: wakuu habari za kazi.... Nauza sofa mpya ambazo hazijakaliwa kabisa kwa shilingi laki mbili na elf dhemanini tu kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa Click to expand... mwambie jirani akufundishe jinsi ya kuweka picha upate hela leo leo ukazipige kiberiti kesho
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,568 Reaction score 9,138 Jul 17, 2015 Thread starter #12 Mm mwenyewe Microsoft Certified Ila sijui ni kwann picha hazipandi nimetumia app Ya Jamiiforums na operamin zote zinakataa
Mm mwenyewe Microsoft Certified Ila sijui ni kwann picha hazipandi nimetumia app Ya Jamiiforums na operamin zote zinakataa
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,568 Reaction score 9,138 Jul 17, 2015 Thread starter #13 Sofa pucture Attachments 1437130000094.jpg 19.2 KB · Views: 277 1437130046691.jpg 28.9 KB · Views: 268 1437130075257.jpg 26 KB · Views: 234