Habari wana Jamii Forums.
Ni nauza smartphone Tecno R7 iliyotumika miezi sita kwa bei ya tshs laki mbili na elfu ishirini (220,000/=) maelewano yapo. Imepasuka kidogo kioo ila inatumika vizuri sana.Gharama za kuweka kioo kipya ni elfu themanini.Sababu ya kuuza nimepata simu nyingine mpya.
Kwa anayetaka ani Pm

Chukua 160000/=