Tuwekee model ya saa husika tujirizishe halafu jaribuni kutufanya nasie masikini tuishi kwa kufurahia bidhaa zenu sio mtukomoe namna hio hakuna smart watch ya bei ya chini ya na nzuri zaidi ya haylou solar l05 na iko nzuri sna na imara sana ila msitufanyie hivo tuwekeen na model tugugo tuone wenyewe