M Mcdad Member Joined Dec 22, 2014 Posts 38 Reaction score 14 Jul 8, 2017 #1 wandugu nimepata dharula ya hela kidogo nimeamua kuuza simu yangu tecno w3 ipo kwenye hali nzuri kabisa nipo Dodoma 0652399916
wandugu nimepata dharula ya hela kidogo nimeamua kuuza simu yangu tecno w3 ipo kwenye hali nzuri kabisa nipo Dodoma 0652399916
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,669 Jul 8, 2017 #2 Weka picha
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,030 Reaction score 6,275 Jul 8, 2017 #4 Tecno zinauzwa sana humu. Kila simu inayouzwa ni Tecno.
Akili 09 Nguvu 01 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 695 Reaction score 1,398 Jul 8, 2017 #5 Biashara haifanyiki ivo mkuu Katika Tangazo lako inabid liwe na Picha, Bei pamoja na Mawasiliano
ndumbo jr Member Joined Jul 4, 2017 Posts 74 Reaction score 31 Jul 8, 2017 #6 Picha bei vitu muhimu katika tangazo usisahau