Hilo ni kosa kisheria, hebu soma sheria ya makosa ya mitandao ueleweHabar zenu wakuu humu ndani...Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu ajira nmeamua kuuza simu yangu ambayo nmetumia mwezi tu ili nipate mtaji wa kuanza biashara.
sh ngap mkuu nichek hapa 0713794962 tuongeeHabar zenu wakuu humu ndani...Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu ajira nmeamua kuuza simu yangu ambayo nmetumia mwezi tu ili nipate mtaji wa kuanza biashara.
650000
Simu ina miaka minne, we umetumia tu mwezii.. Hujaelewa ni ugumu wa maisha ulikufanya uwe outdated tangu awali...hahaaa