Nauza simu ya SAMSUNG S10 PLUS

Simu zao hazishuki bei kizembe hao wa Pro Max. Simu ya miaka minne ila bila Million upati.
Ndio maana wahuni wanasema simu zao ni za kike ile kauli ya kushindwa tu Huawei nimeona wanatamba na Pura 80 ni simu nzuri sana inafanana vitu vingi na hao wahuni wa Pro Max.
 
Pole kwa kuuguliwa mkuu, Mungu atafanya wepesi. Naomba nikupe 220k ikusaidie kumtibia mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…