kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 139
- 243
Mkuu sio ta mkopo kakaa.Hahaha nitajuaje kama sio ya mkopo?
Ukitaka tunaweza kuandikishana hata polisi, in case of any case, sheria itatumika kakaMkuu sio ta mkopo kakaa.
Hapana kaka. Nina shida ndio lakini hapo hapana220 k vipi huchukui?
Risiti? Hapana kaka. Dah.Risiti yake unayo?
Pole sana, unaweza ukatuma picha ya simu yenyewe siyo hizi za kudownload?Wakuu, nimepatwa na shida ya ghafla, sana, mwanangu anaumwa, na hapa nilipo sina namna tofauti na kuuza simu yang.
Samsung S10 PLUS..
Gb 128
Ram 8
PRICE 280,000.
Location: Ubungo Riverside.
Phone 0687516723, (whatsapp 0752663748 / 0620224372
Haina shida yoyote. Kama upon tayari unaweza kunipigia moja kwa moja, au norma/whatsapp text
Pole sana, unaweza ukatuma picha ya simu yenyewe siyo hizi za kudownload?
Haina thamani ya hiyo.pesa.Wakuu, nimepatwa na shida ya ghafla, sana, mwanangu anaumwa, na hapa nilipo sina namna tofauti na kuuza simu yang.
Samsung S10 PLUS..
Gb 128
Ram 8
PRICE 280,000.
Location: Ubungo Riverside.
Phone 0687516723, (whatsapp 0752663748 / 0620224372
Haina shida yoyote. Kama upon tayari unaweza kunipigia moja kwa moja, au norma/whatsapp text
NashukuruHaina thamani ya hiyo.pesa.
Hapo labda laki 1 .
Hii na note 10+ ni kisangaMoja ya simu kali sana kutoka Samsung. Hadi kesho hii simu ni kali.
🤣🤣🤣Tanzania yangu.Pole sana kuna jamaa anaweza toa 2.5 utachukua? Na mimi unipatie hela ya soda
Mkuu na wewe ya soda tena , akati mtu kasema ana uguliwa 🤔Pole sana kuna jamaa anaweza toa 2.5 utachukua? Na mimi unipatie hela ya soda
Chukua hela ndio bei yake ya mtaa hiyoHapana kaka. Nina shida ndio lakini hapo hapana
Samsung walifanya mapinduzi makubwa sana hii miaka.Hii na note 10+ ni kisanga