Hii post imenifikisha pabaya sana sio kweli mimi sijatembea na mwanafunzi wala sijampa mimba mtu yoyote nlitumia njia ile ili niuze simu alaka, kuna jamaa umu mse....... Kajifanya anatak kununua simu akaniita tukakutana.... Akanichomesha kwa askar dah nmetoa hela nying sana kwa ujinga wangu. Yan ndio natoa saivi police toka saa tatu asubuh yan jamaa kanichoma kwa police et nmempa mimba mwanafunzi alaf akatak na kunidhurum anawaambia police et hii simu ni yake sema police wanabusara sana wakagoma kumpa simu jamaa akaondoka akaniachia msala dah nimejifunza kitu