Nauza simu used galaxy note 3

Nauza simu used galaxy note 3

Gantar gal

Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
78
Reaction score
6
Haina tatizo lolote
ina 32GB internal
Kwa maelezo piga 0783 132193
 

Attachments

  • 1410886383064.jpg
    1410886383064.jpg
    61.3 KB · Views: 246
bei ni 680,000/=
nauza kwasababu nahitaji kuongezea hela ninunue nyingine
 
Nasikia hizo simu zina matatizo ya kujizima, sio mar moja wala mar mbil kusikia hizo kesi

It might be true lakini nadhani ni tatizo dogo. mine was behaving like that, but i came to note that the battery placement was not tight. Sio tatizo la kukufanya usinunue linatibika bila fundi.
 
It might be true lakini nadhani ni tatizo dogo. mine was behaving like that, but i came to note that the battery placement was not tight. Sio tatizo la kukufanya usinunue linatibika bila fundi.

Yes mkuu, pamoja na hayo note 3 ni simu ambayo natarajia kuimiliki soon, inanikosha sana ilivyo, iko poa sana ila hilo tatizo ndo lilinivunja moyo mkuu
 
bei ni 680,000/=
nauza kwasababu nahitaji kuongezea hela ninunue nyingine

Ndg zangu ebu tujifunze kitu, swali la kwanini unauza kwangu mimi si la kimantiki. Hoja ya msingi kwamba mtu anauza mali yake, inatosha. Ni jukumu la mnunuzi kutumia kila mbinu kujiridhisha juu ya mali anayo nunua.

Je! Kama nauza kumtibu mgonjwa, au nipate chakula? Au kesho weekend mtu anataka apige mambo? Na ukweli ni kwamba swali hili huwa halijibiwi kwa ukweli. Ni wachache tu hujibu kwa uhalisia.
 
Hivi unaanzia wapi kununu simu ya laki sita.?
 
Hivi unaanzia wapi kununu simu ya laki sita.?

unaweza kuanzia dukani mkuu au kununua kwa mtu kama hivi.
Kama uko mbali na maduka unaweza kuagiza mtu akakununulia pia.

Hapo vipi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom