Nauza simu tajwa hapo juu, ambayo imetumika kwa miezi sita. Ni kama mpya, haina michubuko yoyote na unapata pia betri mbili, charger original, boksi lake na kitabu. Namba yangu ni 0753/0715 505115 au unaweza kunipata kwa email: mkumbata32@gmail.com.
Mkuu miezi sita kwa simu ni mingi sana, we sema ipo katika hali nzuri basi. Hata lingekuwa na wiki moja, kama imepata hitilafu, ni tatizo. Tatizo kubwa la simu ni kuanguka. Ikishaanguka hata mara moja ni doa kubwa. Hata hivyo wateja wamekusikia.