Dukani sh,ngapiWakuu habari zenu..
Nauza simu yang tecno boom j8 Imetumika miezi miwili na ina Hali nzuri tuu na ina kila kitu chake pamoja na lisit yake.
Mawasiliano 0654278188
Nipo kahama .
Bei ni 280000
Acha kudanganya watu dukani 350[emoji2] [emoji2] [emoji2] wajinga ndio waliwaoDukani Inauzwa 350 .huoni kuna punguzo hapo?
Weka pichaDukani Inauzwa 350 .huoni kuna punguzo hapo?
Kama nakudanganya ingia google utafute hyo Cm Na specifications zake ndo Ujue Hii simu ni kubwa kiasi gani... Ni latest LTE tecno mobile inayotumia mfumo wa HiosAcha kudanganya watu dukani 350[emoji2] [emoji2] [emoji2] wajinga ndio waliwao