Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,075
Picha-Ni used like brand new, maana toka siku ya kwanza hadi leo ipo kwenye screen protector na cover lake. Haina any scratches, haijapauka na ata mkwaruzo mmoja hamna.
Ni Duos, ina 32Gb internal memory. Specifications nyingine ni izo za Galaxy S7.
HAINA TATIZO LOLOTE na HAIJAWAI KUPIGWA SPANA. Ina Warranty ya 2yrs from Samsung East Africa..
nakupa na box lake, warranty card na risiti yangu mimi niliyonunulia. Pia unapata Charger yake Original (adaptive fast charging) na USB connector, earphones zilipotea.
Nauza kwa sababu binafsi, kufulia ikiwa mojawapo.
Bei ni 1.1M Tshs.
Karibuni wote.
N.B simu ni Original, haina tatizo lolote. Haijawai kupigwa spana ama kuguswa na mikono zaid yangu.
Sitaki ujanja ujanja na uswahili ndo mana nimetoa maelezo ya kutosha.
Ni strictly business.
Mkuu nashindwa kuweka picha hapa mana ndo nimeitumia, mpaka nitafute simu nyingine kuipiga...Picha
Acha dhihaka. Ila kwa laki 4 yako utapata simu pia sio lazima hii yangu.Laki 4 vp????
Sasa Mkuu nitoke kwenye S7 nirudi kwenye S6 edge?Nikupe sh ngap na Samsung s6 edge?
Laki 4 vp????
acha dhihaka na utoto kwenye shida/matatizo ya mtuLaki 4 vp????
Nikupe elfu thelasini 30,000/= mkuu?-Ni used like brand new, maana toka siku ya kwanza hadi leo ipo kwenye screen protector na cover lake. Haina any scratches, haijapauka na ata mkwaruzo mmoja hamna.
Ni Duos, ina 32Gb internal memory. Specifications nyingine ni izo za Galaxy S7.
HAINA TATIZO LOLOTE na HAIJAWAI KUPIGWA SPANA. Ina Warranty ya 2yrs from Samsung East Africa..
nakupa na box lake, warranty card na risiti yangu mimi niliyonunulia. Pia unapata Charger yake Original (adaptive fast charging) na USB connector, earphones zilipotea.
Nauza kwa sababu binafsi, kufulia ikiwa mojawapo.
Bei ni 1.1M Tshs.
Karibuni wote.
N.B simu ni Original, haina tatizo lolote. Haijawai kupigwa spana ama kuguswa na mikono zaid yangu.
Sitaki ujanja ujanja na uswahili ndo mana nimetoa maelezo ya kutosha.
Ni strictly business.
Asante mkuu,acha dhihaka na utoto kwenye shida/matatizo ya mtu
jiulize ungekuwa wewe ungefurahi dhiaka za kipuuzi kama unazoleta wewe
Iyo watumie ndugu zako shamba huko wanateseka.Nikupe elfu thelasini 30,000/= mkuu?
Hapana sio hii. Ile yenye majanga ilikua NOTE 7.Mkuu hiyo S7 Si ndiyo sumsung walitangaza Ina matatizo ya kifundi?,na nilisikia wakisema ziludishwe kiwandani kwa ukaguzi?,au nachanganya madesa?
Nimeishawawezesha saizi nataka nikuwezeshe na wewe ulepo kapilau kwa sababu huo mpindo ulionao ni balaa. Nikuongezee elfu tano 5,000/= basi mkuu iwe 35,000/=?Iyo watumie ndugu zako shamba huko wanateseka.
Watumie ili kesho wale nyama na pilau mwaka mpya.
Watafarijika sana na utabarikiwa sana mwaka 2017.
Mkuu nashindwa kuweka picha hapa mana ndo nimeitumia, mpaka nitafute simu nyingine kuipiga...
Ila naamini ukiiona haina tofauti na mpya mana ipo kwenye protector nainunua na always ipo kwnye cover lake.
Ila Gold ipo ipo hivi
View attachment 452624
Simu ya kitoto kabisa hii. Diaspora tunatumia vitu vya hela buana.Mkuu nashindwa kuweka picha hapa mana ndo nimeitumia, mpaka nitafute simu nyingine kuipiga...
Ila naamini ukiiona haina tofauti na mpya mana ipo kwenye protector nainunua na always ipo kwnye cover lake.
Ila Gold ipo ipo hivi
View attachment 452624
Poa poa mkuu,kila la kheri.Hapana sio hii. Ile yenye majanga ilikua NOTE 7.
Hii ni S7 haina tatizo hata moja. Ni shida tunauzia.
Asante.Poa poa mkuu,kila la kheri.
Asante kwa ushauri ila nimeona bora niiuze tu. Imenipa experience nzuri pia.Tatizo sio hauna ela Bali ujaizoea ela ata nikinunua iyo simu utatumia iyo ela kwa pupa uje tena APA utake kuuza mke sababu ulimuowa ukiwa umepata PESA kwa Mara moja usiiuze lakini jitaidi uzoee pesa
Aisee simu bado ipooo?-Ni used like brand new, maana toka siku ya kwanza hadi leo ipo kwenye screen protector na cover lake. Haina any scratches, haijapauka na ata mkwaruzo mmoja hamna.