Nauza simu samsung galaxy j7 model sm-j700H, nimeitumia mwezi mmoja na nusu kila kitu chake kipo na nina uza shillingi lak4 na nusu kwa srious buyer ni Pm ni nzima haina shda yoyote android 5.1,ina flash mbele na nyuma na ina camera mbele na nyuma.
nipo dar