Nauza simu aina ya SONY EXPERIA, ione hapa

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,440
Nauza simu aina ya Sony Experia iko katika hali nzuri 130,000/= unaweza letewa hata mikoani mimi niko Mwanza.

Karibu!
 

Attachments

  • 1430141266089.jpg
    75.8 KB · Views: 1,041
  • 1430141310137.jpg
    76.7 KB · Views: 2,292
mi namtaka na huyo paka hapo pembeni...

Sijawahi kupendana na kiumbe kama hivi..its the authentic affection n love!

Huwa nalala nae kitandani na kula nae mezani.

The more I learn about people the more I like my little pussy. Anapenda unconditionaly na mimi nimeamua kumpenda unconditionaly. Kuna mengi sana tunafanya pamoja na paka huyu ntakwambia siku moja.

Bila shaka Picha hapo inazungumza mengi sana.
 

Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…