Nauza simu aina ya INFINIX NOTE 2 X600

Nauza simu aina ya INFINIX NOTE 2 X600

best mugy

Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
34
Reaction score
28
Ndugu wana jf nauza simu ya infinix note 2 x600 Tsh.350,000/- imetumika kwa miezi 3 haina shida yoyote inakaa na charge siku nzima kwa mawasiliano nitafte kwa namba hii 0786156471 & 0625694036
Karibuni
 
kwann ghali hivyo mkuu wakati Mpya haizidi 11000ksh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom