Nauza simu, aina ni Tecno K7

Nauza simu, aina ni Tecno K7

Amoxline

Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
75
Reaction score
49
Wakuu nauzasimu yangu imetuka miezi miwili tu ,ipokwenye hari nzuri hainatatizo ,bei ni sh,200000 karibuni pm
 
Wakuu nauzasimu yangu imetuka miezi miwili tu ,ipokwenye hari nzuri hainatatizo ,bei ni sh,200000 karibuni pm
Simu hizo zina matatizo sana tena sana. Afadhali K9 kidogo ni nzima. Kuwa mkweli. Usiwasukumie wenzako mizigo, ni dhambi kwa Mungu. najua utanichukia lkn nasema kweli. Mimi nimeliweka ndani ndio nikanunua K9, afadhali ingawa nazo siyo kihivyo katika ubora wa smart phones! Pole kwa ukakasi wa post yangu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom