Constantine1
Member
- Jun 14, 2016
- 31
- 7
Lipo sehemu gani?Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba lipo jirani na mto usiokauka maji linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
hiyo bei ni kwa shamaba lote?,shamba liko sehemu gani?Bei Ni milioni mbili na nusu,shamba lipo jirani na mto usiokauka maji linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
Morogoro sehemu gani mkuu?
sasa ndugu aujasema shamba liko maeneo gani. moro ni kubwa
Ekari 20 nnazozifahamu mimi kwa million 2[emoji15] [emoji15] [emoji15] afuu lipo pembezoni mwa mto,,mtakuja kutuuzia na hifadhi za serikali walaiBei Ni milioni mbili na nusu,shamba lipo jirani na mto usiokauka maji linafaa kwa kilimo na ufugaji.
Muhitaji tuwasiliane Mara moja.
katikati ya mikumi na kilosaLipo sehemu gani?
Wapi Ulaya?Ni katikati ya mikumi na kilosa
katikati ya mikumi na kilosa
Ni eka zote 20 kwa 2,500,000.Heka moja ndo 2,500,000/=,ama zote 20?,zinafaa kufuga ama kilimo cha umwagiliaji..