The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
Habari za jioni?
Nauza shamba maeneo ya Mbopo karibu na Madale. Ukubwa ni eka 1 na bei yake ni mil 23. Eneo limepimwa na lina hati. Ni sehemu nzuri ambayo ipo tambarare. Kwa anayehitaji anaweza kunipigia kwa namba 0763044459 au 0719851055.
Karibuni.