B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,940 Feb 7, 2021 #41 Kuna vihamba vinauzwa Kilimanjaro? Unaweza uziwa makaburi ya watu halafu ukashindwa kuishi sehemu husika!
Kuna vihamba vinauzwa Kilimanjaro? Unaweza uziwa makaburi ya watu halafu ukashindwa kuishi sehemu husika!
Kaunara JF-Expert Member Joined Feb 4, 2013 Posts 258 Reaction score 540 Feb 7, 2021 Thread starter #42 Bulesi said: Kuna vihamba vinauzwa Kilimanjaro? Unaweza uziwa makaburi ya watu halafu ukashindwa kuishi sehemu husika! Click to expand... Nyie jamaa sijui mmetumwa na nan, hili ni shamba sio kihamba. Hamna kaburi wala jengo wala hamna mtu aliyeishi hapo. Shamba plain.
Bulesi said: Kuna vihamba vinauzwa Kilimanjaro? Unaweza uziwa makaburi ya watu halafu ukashindwa kuishi sehemu husika! Click to expand... Nyie jamaa sijui mmetumwa na nan, hili ni shamba sio kihamba. Hamna kaburi wala jengo wala hamna mtu aliyeishi hapo. Shamba plain.
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,741 Reaction score 14,940 Feb 7, 2021 #43 Kaunara said: Nyie jamaa sijui mmetumwa na nan, hili ni shamba sio kihamba. Hamna kaburi wala jengo wala hamna mtu aliyeishi hapo. Shamba plain. Click to expand... Bado kuna mashamba yanauzwa uchagani? Chunga sana unaweza kulizwa na hawa jamaa!
Kaunara said: Nyie jamaa sijui mmetumwa na nan, hili ni shamba sio kihamba. Hamna kaburi wala jengo wala hamna mtu aliyeishi hapo. Shamba plain. Click to expand... Bado kuna mashamba yanauzwa uchagani? Chunga sana unaweza kulizwa na hawa jamaa!
Kaunara JF-Expert Member Joined Feb 4, 2013 Posts 258 Reaction score 540 Feb 7, 2021 Thread starter #44 Bulesi said: Bado kuna mashamba yanauzwa uchagani? Chunga sana unaweza kulizwa na hawa jamaa! Click to expand... Mashamba kibao na viwanja vya kutosha pofu pale nenda.
Bulesi said: Bado kuna mashamba yanauzwa uchagani? Chunga sana unaweza kulizwa na hawa jamaa! Click to expand... Mashamba kibao na viwanja vya kutosha pofu pale nenda.
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 Feb 7, 2021 #45 Mashamba yapo mengi tu yanauzwa,tatizo hawauzi bei ya kutupa kama mikoa mingine. Bulesi said: Bado kuna mashamba yanauzwa uchagani? Chunga sana unaweza kulizwa na hawa jamaa! Click to expand...
Mashamba yapo mengi tu yanauzwa,tatizo hawauzi bei ya kutupa kama mikoa mingine. Bulesi said: Bado kuna mashamba yanauzwa uchagani? Chunga sana unaweza kulizwa na hawa jamaa! Click to expand...