Nauza Shamba Manispaa ya Mji wa Mtwara

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,906
Reaction score
9,691
Nauza shamb langu lenye ukubwa wa Hekari moja lipo Manispaa ya mji wa mtwara sehemu inaitwa Naliendele Shangani, ni shamba lenye ukubwa wa hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama Mikorosho mwenye kuitaji unaweza kunicheck 0767 723294 bei ni milion 16
 

Attachments

  • WP_20161116_12_22_07_Pro.jpg
    226.9 KB · Views: 65
  • WP_20161116_12_19_56_Pro.jpg
    302.7 KB · Views: 71
  • WP_20161116_12_19_53_Pro.jpg
    332.2 KB · Views: 67
Bei hiyo kwa usawa huu hupati labda kwa hao wamakonde maana sasa wanahela za korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…