Plot4Rent Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

Dith

Member
Sep 30, 2020
57
15
  • Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda).
  • Lina heka 4 zinapelea kidogo.
  • Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k.
  • Shamba lina kisima ndani yake kisicho na tanki na mota, shamba safi halina vichaka.
  • Kilometer 3.5 kutoka barabara ya lami.
  • Kutoka mbagala mpaka kikungo ni shilingi 1400 kwa usafiri wa daladala, kutoka hapo kikungo stand mpaka shambani kwa bodaboda ni shilingi elfu moja, kwa miguu ni kama dakika 20 au nusu saa itategemea na mtembeaji.
  • Bei ni shilingi 15M fixed. Mawasiliano ni 0769917961 au 0712030252
  • Angalia picha za shamba hapa
  • Your browser is not able to display this video.
  • Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu sawa biashara tumeiyona lkn bei umeeenda mbali sana nina rafiki yangu anauza eka mbili kwa milioni mbili na ni hapo hapo mkuranga
 
Yan shamba heka 3 million 25 subiri yesu akirudi utauza.
Kwa mwenye nia ya dhati bei inaongeleka. Ni makubaliano tu. Na shamba pia lina mali. Ukisoma maelezo yangu utajua kwanini ni bei hiyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…