Kata, Wilaya, Mkoa, barabara, umeme!Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola,heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana.
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanunuzi wanakuja kuwa na Subra,.. Hicho kijiji kipo Bukoba au? na vipi mtu akihitaji heka tano unauza?Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola,heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana.
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola,heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana.
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
nyamaronda/mkola ndiyo wapi mkuu. Hebu fafanua kidogoHabari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola,heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana.
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka Mkuranga kuna wilaya ya Kibiti ndio unafika wilaya ya Rufiji.Kwa ufafanuzi kwa ajili ya muuzaji nyamaronda ipo wilaya ya mkuranga nadhan ni kijij kimoja kabla hujafka wilaya ya rufiji, hiyo mkola sasa kwa kweli nimepoteza kumbukumbu labda aje mwenyewe atuambie
Mkola ni wapi?Habari, nauza shamba langu heka 100 zipo nyamaronda kijiji cha mkola,heka zote nauza kwa shilling 30,000,000/= Hakuna punguzo. Shamba lilikuwa safi ila sasa majani yameota. Linafaa kwa kilimo cha ufuta, mahindi, jamii ya mikunde, mihogo, matikiti kwa kuwa maji yapo karibu Sana.
Sababu za kuuza nategemea kuondoka nchini kwa muda mrefu Sina mtu anayeweza kuliangalia. Kwa mawasiliano 0627562004. Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoka Mkuranga kuna wilaya ya Kibiti ndio unafika wilaya ya Rufiji.