Nauza shamba la ekari 40 Muheza

Nauza shamba la ekari 40 Muheza

Giannis Antetokounmpo

Senior Member
Joined
Jan 16, 2017
Posts
134
Reaction score
65
Nauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane.

=====

Limesafishwa kama ekari tano hivi

Chanzo cha maji kuna mto pale haupo mbali na shamba walkable distance,

Lina documents halali za umiliki,,

Na pia hilo shamba nilijenggea servant quarter ya sema bado finishing ina mabati lakini,

Kutoka kwenye lami ni kama dakika 25-40 na linafikika mda wowote hata kama mtu ana vits,,

Sababu ya kuuza ni kwamba nna project yangu nyingine nataka kufanya.

As u know muheza u can plant mahindi, maharage, machungwa, maembe, kunde mihogo.

Siuzi sehem nauza lote, bei ni fair sana coz unapata na servant quater so bei haipungui
 
Nauza shamba muheza ni ekari 40,bei yake ni 5 million..tuwasiliane.
Tshs 5,000,000/Heka 40
= Tshs 125,000/heka

1) Limesafishwa??
2) Linafaa kwa kilimo gani??
3) Linafikika kwa gari muda wote??
4) Liko umbali gani kutoka mji wa karibu??
5) Umetumia vipimo gani katika kila heka 1??
6) Source of water ni nini?
7) Lina Documents gani za umiliki??
8) Kwanini unaliuza??
9) Bei inazungumzika??
10) Unaweza kuuza sehemu ya shamba kwa ambae hataki lote??
 
Tshs 5,000,000/Heka 40
= Tshs 125,000/heka

1) Limesafishwa??
2) Linafaa kwa kilimo gani??
3) Linafikika kwa gari muda wote??
4) Liko umbali gani kutoka mji wa karibu??
5) Umetumia vipimo gani katika kila heka 1??
6) Source of water ni nini?
7) Lina Documents gani za umiliki??
8) Kwanini unaliuza??
9) Bei inazungumzika??
10) Unaweza kuuza sehemu ya shamba kwa ambae hataki lote??
Limesafishwa kama ekari tano hvi,,chanzo zha maji kuna mto pale haupo mbali na shamba walkable distance,lina documents halali za umiliki,, na pia ilo shamba nilijenggea servant quarter ya sema bado finishing ina mabati lakn, kutoka kwenye lami ni kama dakika 25-40 na linafikika mda wowote hata kama mtu ana vits,,sababu ya kuuza ni kwamba is that nna project yangu nyingne nataka kufanya,, as u know muheza u can plant mahindi, maharage, machungwa, maembe, kunde mihogo,,siuzi sehem nauza lote, bei ni fair sana coz unapata na servant quater so bei haipungui ,..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom