5,865sqmHujaweka bei na ukubwa wa eneo
Eneo ni la viwanda vya wachina,unaliuzaje ww au sijakuelewa mkuuWadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu ninauza ni eneo la viwanda vya wachina.
5,865 sqmWeka picha, vipimo (ukubwa wa eneo), bei na gharama za dalali
Ndio nauza mmEneo ni la viwanda vya wachina,unaliuzaje ww au sijakuelewa mkuu
Hiyo Misugusu iko Mkoa/Wilaya gani hapa Tanzania? Kuna Wasukuma wako huku Bariadi wanaulizia ili waje kulima mpunga na mahindi.Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu ninauza ni eneo la viwanda vya wachina.
Kibaha mkoa wa pwaniHiyo Misugusu iko Mkoa/Wilaya gani hapa Tanzania? Kuna Wasukuma wako huku Bariadi wanaulizia ili waje kulima mpunga na mahindi.
Naona eneo ni zuri na kubwa, hata huduma za umeme na maji zipo jirani kabisa. Hata ubali sio mkubwa sana kutoka Morogoro road, na bei ni raphiki kabisa.Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu ninauza ni eneo la viwanda vya wachina.
Wachina wanaviwanda jiraniEneo ni la viwanda vya wachina,unaliuzaje ww au sijakuelewa mkuu
Hapa sawa. Ungeweka pia na makadirio ya umbali kutoka barabara kuu ya Dar Moro.Kibaha mkoa wa pwani
Karibu Asante mkuu nina maeneo mawili moja nauzaNaona eneo ni zuri na kubwa, hata huduma za umeme na maji zipo jirani kabisa. Hata ubali sio mkubwa sana kutoka Morogoro road, na bei ni raphiki kabisa.
Basi tutawasiliana mkuu, maadam mawasiliano umesha weka hapa...😊
Asante nimeboresha mkuu kwenye tangazoHapa sawa. Ungeweka pia na makadirio ya umbali kutoka barabara kuu ya Dar Moro.
Mkoa wa pwani , wilaya ya kibahaMisugu sugu ipo wapi vile
Hapana nina mkataba wa mauziano na muuzaji, pia nina muhutasari wa serikali ya kijiji.Vp mkuu lipo na hati au ndo mauziano s/mtaa
mbona eneo unalodalalia ni la watu embu tuletee picha kwa sababu hapo napajua na pameshanunuliwa siku nyingi na wala hiyo siyo bei halisi kwa maeneo hayo hapo napajua vizuri eka ni 15M hata juzi hiyo ndio bei inayotembea tupe picha kwanza usije uza eneo la watu hakuna eneo la wazi maeneo hayo mpaka dampo kule chini ni maeneo ya watuHapana nina mkataba wa mauziano na muuzaji, pia nina muhutasari wa serikali ya kijiji.