taurus5270
Member
- Dec 31, 2013
- 79
- 13
Nipe hizi details kuhusu Tab yako,
i) ina 3G au ni WI-FI pekee?
ii) internal memory ngapi?
iii) camera ina mega pixel ngapi?
iv) Android version yake?
v) Capacity ya RAM?
i)
iii) Camera ya nyuma ina 3 megapixel ya mbele ni VGA
3mp ar yu out of ur $kull?!
i)
iii) Camera ya nyuma ina 3 megapixel ya mbele ni VGA
3mp ar yu out of ur $kull?!
NIMEJITAHIDI KUKUELEWA LAKINI NIMESHINDWA HAPO. SIJUI HATA UMEMAANISHA NINI
NIMEJITAHIDI KUKUELEWA LAKINI NIMESHINDWA HAPO. SIJUI HATA UMEMAANISHA NINI
Basi na ww hujaelewa ulichokuwa unaandika
Basi na ww hujaelewa ulichokuwa unaandika
Inawezekana sijaelewa, na wewe badala ya kunielewesha unanizungusha zungusha. Mh tutabadilika lini. Mtu kama kakosea si unamrekebisha na kumwambia hapo ilitakiwa iwe hivi na sio hivi.
i)
Band
GSM&EDGE Band GSM Quad Band (850/900/1,800/1,900MHz)
3G Band 850 / 900 / 1,900 / 2,100 MHz
Network & Data
GPRS GPRS Class 33
EDGE Yes
3.5G HSPA+ (up to 21Mbps)
Inshort inatumia line SIM CARD ya mtandao wowote.
ii) Internal capacity ni 16GB na unaweza kuweka memory card up to 32GB
iii) Camera ya nyuma ina 3 megapixel ya mbele ni VGA
iv) Operation System Android 4.0.3 (Ice cream sandwich) kila ikiwa update unadownload updates! now ipo 4.2
v)Ram ni 1GB 1GHz
Mambo mengine yote yapo sawa kasoro tu hiyo camera. Camera ya 3 mp ni insufficient sana kuweza kuchukua object very cleary.
Nimeitumia kama miezi 3, nililetewa na ndugu yangu direct from America, original kabisa!
Sababu ya kuiuza ni kuwa siitumii mara kwa mara kwa sababu ni kubwa sana 10inch. Nilitaka ya 7inch lakini ikaletwa hii. Bei laki sita na elfu hamsini. 650,000/=
Napatikana Dar es salaam. !
Mkuu watu unajua wanaambiwa kitu wanakariri na kufuata mkumbo. 3 megapixel kwa Tab ni kawaida sana, ipad 3 yenyewe ambayo bado tunaiita ni current ina 5 megapixel, Tab ambayo ipo improved kwenye camera ni Galaxy Note edition ya 2014 ndo inayo 8 megapxl. tab na smartphones hazifanani kwenye camera wadauhuyo anayeshangaa muulize ni tab gan aliiona ina 8mp??? Tab kibao hapa bongo ni 3mp
Mambo mengine yote yapo sawa kasoro tu hiyo camera. Camera ya 3 mp ni insufficient sana kuweza kuchukua object very cleary.
me natumia hii device, hiyo camera ni bab kubwa kuliko unavyoweza idhania, inarekodi 1080p hd vzuri sana aisee
huyo anayeshangaa muulize ni tab gan aliiona ina 8mp??? Tab kibao hapa bongo ni 3mp
kabla ya kutoa bei zenu muwe mnapitia maduka ya samsung. tab 3 laki 615 mpya. tab 2 processor ndogo,internal memory pia ndogo. haikaina betri alafu saizi tuko android 4.2 wizzy
its more than computer. ingekuwa 8" tab 3 sawa. ambazo hazijaingia bongo bado. bei utazunguka sana watu siku izi wananunua wenyewe ebay.
Mkuu watu unajua wanaambiwa kitu wanakariri na kufuata mkumbo. 3 megapixel kwa Tab ni kawaida sana, ipad 3 yenyewe ambayo bado tunaiita ni current ina 5 megapixel, Tab ambayo ipo improved kwenye camera ni Galaxy Note edition ya 2014 ndo inayo 8 megapxl. tab na smartphones hazifanani kwenye camera wadau
Tab za Sony zina 8 MP na zipo Mlimani duka linalouza vifaa vya Sony bei ni TZS 999,999.00 hizo tablet pia ni water proof,kaka bongo kila kitu kipo ni fweza yako tuhuyo anayeshangaa muulize ni tab gan aliiona ina 8mp??? Tab kibao hapa bongo ni 3mp
Tab za Sony zina 8 MP na zipo Mlimani duka linalouza vifaa vya Sony bei ni TZS 999,999.00 hizo tablet pia ni water proof,kaka bongo kila kitu kipo ni fweza yako tu