nauza Samsung Galaxy S3 ORIGINAL

nauza Samsung Galaxy S3 ORIGINAL

Chilai20

Senior Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
104
Reaction score
10
habari wana jamvi, nipo Zanzibar nauza Samsung Galaxy S3 Original rangi nyeupe 450,000. iko ktk hali nzuri sana! kwa aliekua serious tuwasiliane 0717 701778.
thnx
 
habari wana jamvi, nipo Zanzibar nauza Samsung Galaxy S3 Original rangi nyeupe 450,000. iko ktk hali nzuri sana! kwa aliekua serious tuwasiliane 0717 701778.
thnx
laki2 vip!?
 
hyo laki2 yko nenda katoe sadaka kwenu kijijini hko.
 
..naona kiswahili kinakutatiza, "ipo ktk hali nzuri" kwa maana kua imetumika.
ingekua mpya ...ingejieleza hpo.
thnx
 
Nani ataileta Tanzania Bara? Nataka kupa hiyo mpesa Cash.
 
yaani ni used bado inauzwa laki 4.5 ukizingatia mtu kaishiwa acha hzo. mi niko na laki mbili na nusu kama vp pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom