Nauza kwa bei ya jumla, mi nakuuzia kwa bei ya jumla, tunapima kwa kilo kulingana na kilo unazoitaji, unatuma pesa ya kilo za samaki unazotaka then nakutumia mzigo.
Njia ya utumaji.
Tunatuma kwa malori yanayobeba mboga hasa ya samaki. Gharama za usafiri ni juu yangu. Karibu.