Nauza saloon ya kiume ya kisasa;

Nauza saloon ya kiume ya kisasa;

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,316
Reaction score
23,186
Ni barber shop ya ukweli, ipo morogoro mjini, mpya ina miezi 3
unaweza kuhiamisha kwenda utakako.
1.ina viti viwili vya kisasa,
2. vioo vya kujiangalia 5
3. mashine original 2
4.sterilizer
5. feni ya juu
6. sofa la watu wa 3
7.mlango wa aluminium futi 7x6.7 na vioo vya tinted
8. kwa kifupi ni saloon iliyokamilika ambayo ukiichukua unanza kazi hakuna haja ya kununua vitu vingine.

BEI MILION 3, MAONGEZI KIDOGO
nimeiuza baada ya kuhamishwa kazi mkoa wa arusha,

tuwasiliane....
 
Hiyo biashara wanafaidi vinyozi tu, nadhani kama ningekua kinyozi mwenyewe ningenunua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom